Choose a track to play
Very bad
Labda flowers nikupatie za bud
Macho ni battery low na nikikuona na feel glad
Na ku protect ka bloods
Raha yako na plus
Teacher napenda venye uko na class
Kila saa mi nakubembeleza
Ju una ni pendeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Nakubembeleza
Ju una ni pendeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Na vuka bumps na speed ndio niskie sauti ya manyororo
Mnyonyo ananituliza na sauti nyororo
Vulai na bado ye ndio dem yangu wa ndoto
Cold na unakulia nani moto ju ya mboto
Na uyo alikuanga fan we ubaki kua mamah
Uskai doubt kwa macho yangu we kifaa
Wamenikufia najua wananidai heri ni dedi kama si wewe nakataa
Umeniita nimekuja first na sijakuja na ndege
Mambanati nionyeshe hao mamwere
Wanani haribia sifa kama siko na wewe
Na we ukona mimi ama nikuache uende
Kila saa mi nakubembeleza
Ju una ni pendeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Nakubembeleza
Ju una ni pendeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Tukikosana mi hufeel nika dunia inadai kunimeza
Uko in my future plans front seat kwa Impreza
Marezi wako nawarudisha home running na one shoe
Kwangu wakijifanya Cinderella
Lamba glucose vumilia
Siezi taka kuona machozi na natoka kulia
Mabega unaeza lalia ukifeel low
Nikukatsia
Tenje unanizimia
Uzuri niko rada nakusundua kila chuom
Very bad
Labda flowers nikupatie za bud
Macho ni battery low na nikikuona na feel glad
Na ku protect ka bloods
Raha yako na plus
Teacher napenda venye uko na class
Kila saa mi nakubembeleza
Ju una ni pendeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Nakubembeleza
Ju una ni pendeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Kila saa kunishuku mnisa na tembeza
Ghetto ni one girl mbaka kwa jeneza
Ghetto ni one girl
Kila saa
Mnisa
Ghetto ni one girl
Ghetto ni one girl
Kila
Mnisa
Ghetto ni one girl