Choose a track to play
upepo wangu wakupuliza wewe
mwenye joto kali
usijaribu kwa kuvaa swetaa
utaongeza ukalii!!
nnachotaka me ni kuwa na wewe
naomba unielewee
ooooooh baby
upepo wangu wakupuliza wewe
mwenye joto kali
usijaribu kwa kuvaa swetaa
utaongeza ukalii!!
nnachotaka me ni kuwa na wewe
naomba unielewee
ooooooh baby
moyo unaniuma mpaka nasema
mpaka najihisi sio mzima
nafsi inaniuma
siishi kwa wema
mpaka najihisi sio mzimaa