Choose a track to play
Fala kwa hii beef we utoshi mboga
Nawagutuka ki horror
Ona ulizimwa adi brain ika format
Gadget blessed Jehovah
Ata kama umechanjwa bado inakushona
This year niko focused
Pongi iezi ni koroga
Sampuli ya fish ipatie water
Nitaje kwa lyrics
Uyo ni dem yako kwa DMs ya me
Okay Trisha Tuesday afternoon ye utumanga boobs kwa Mana T
Negotiation na nani utableed
Cooperate before ukose malips
Nina jicha alisemanga mafeelings tulizificha sehemu ya siri
Mnaharakisha kujengea the late
Mnaharakisha mnatuacha kwa gate
Ati your destined to be great
Babako alikupima pia ye anarelate
Always ghetto yut niko bie
Kindani ndani na run insane
Akuna msee anakuja kunisave
Chonjo tuspatane chuom late
Mi nilisha decide kila kitu nafanya ni major
Flight mode niko high niko mteja
Wako on heat ao mahater
Cool down I'm about to get better
Deila dua me najua
Akiongoza ndio deals zitavai
Cheki itha akuna jua
Ni mbling kwa shingo ndio inashine
Paper chaser not on foot ngata iko full tank naichase na senke
Tulipigwa bumbrush baze before nipewe chain fuck manjege
Utaongezwa makamasi so usilete usoo buda songa mbele
Joy kulalia majegi za Joy
Ya dunia ni apa apa mi ndio nimetumwa ni ku confirmie
Ukilalisha nakuekea poa usbabaike
Niamini kukutrust labda niangamie
Kanyaga ndula ni maziwa nikukanyagie
Thigitha Toxic kama ukona coffin
Scene na cause utadhani natumia narcotics
Shoka ikiku nywes kwa kisogo hiyo ni shocking
Niende slow nikama uko floating
Superman zii Lyrical Man
Power yangu si unang'am nani uyo ananishindanga kurap?
Kime uus umesafisha umepach kwa mdomo unang'am
Nani uyo anakushidanga kurun
Mtaro adi na life vest unazama
Shingo bright nashindwa kutazama
We fala unajua kuhesabu numbers
1 2 3 5 6 utazama
Nakutambua lakini ukinipima shonde nakubambua
Tuna wapimia hewa na bado hatuja waziba mapua
Nashanga na watu inengi we unaniita bro we unanijua
Kutrust msee ndio ngumu natambua watu wa East si ati nazua
Mistari out of this world nika nilidunda na alien ship
Unapenda doba zangu sawa lakini usinisunde kwa io relationship
Alikuja home nikafanya service na si ya fellowship
Best friend kwa estate wao uniita terrorist