Choose a track to play
Sina worry worry worry
Mi ni warrior
Wana boronja sana tukipatana inakua ni euphoria
Sijakaza na bado na waroria
Bad mind nawakulia ma shawrie wao
Boronja mtandao finyiwa kwa ground
Na inabaki kua anonymous
No worries worries worries cause I'm a warrior
Wana boronja sana tukipatana inakua ni euphoria
Dim dim nika nimewasha hazard
Niko 1960 na bado nimeenda gwadha sana
Ju ya sana ya unisa
Warithiki mi si wa kubahatisha
Ni mbuda na ana jisaidia na jina yangu ka poti
Paka ya maisha na tisa na tamabariza na dogi
Mana T naongeza Rick ataka ni ku wacon tuwarowese na moti
Na jua ni teo ukiulizwa ni saa ngapi chunga neck
After jua imedim tukiumana si sio friends
Mmmh sidhani ka una relate
Kukua G sidhani ka una relate