Choose a track to play
Man a, Man a, Man a T
Mboka Mboka Mboka Doba
Big Beats Afriq
Vile nacheza lowkey huwezi mezo nikona loki nazisafirisha
Nasimamisha maploti na ni cha lazima
Marima nasimamisha ma pira
Na napin machogii make sure ndai, zote nimetint dirisha
Huezi ng'am nikipita
Nimekiwasha waras wakilisha chini ya maji
Lowkey, kinena kuna kitu haikosi
Nimejitambua sihitaji hizo trophies
Man a bad nimezoea mikosi
Not nice sijui kama umenotice
Najihusisha kama ikona manoti
Nachomoa kadhaa msupa ashageuka naughty
Lowkey kidosi, lowkey ni za kidosi
Behind bars naeza wai line na punch
Kinda white tena ficha white ukiwa mtaa
Nugu nugu business zimiwa mataa
Infact tukipatana akuna impact utamake
Kidungi tall kama Brad
White precipitate ndani ya lab
Sumu kama kawa, kama dawa kwa ma-rat
Tukiwasafishia rada ni clean huwezi investigate
Ma-white na maziwa
Dirty biz sidai uchafu kwa maziwa
Ndio maana beef za udu na nyamazia
Wananiuzia uoga sijatenga hio maziwa
Lowkey mi ni dosi na choma adi nyongi
Sunda irori full tank kila moti
Mnisa we unaona nani gondi (run)
Hepa ukiniona na Omondi
Vile nacheza lowkey huwezi mezo nikona loki nazisafirisha
Nasimamisha maploti na ni cha lazima
Marima nasimamisha ma pira
Na napin machogii make sure ndai, zote nimetint dirisha
Huezi ng'am nikipita
Nimekiwasha waras wakilisha chini ya maji
Lowkey, kinena kuna kitu haikosi
Nimejitambua sihitaji hizo trophies
Man a bad nimezoea mikosi
Not nice sijui kama umenotice
Najihusisha kama ikona manoti
Nachomoa kadhaa msupa ashageuka naughty
Lowkey kidosi, lowkey ni za kidosi
Full buda si mjuniour na chapana kwa sinia
Lowkey dereva nimejifanya abiria
Daily wanafikiria venye watanifikia
Kimbiza mali kwa milima nikimedi idhaa
Deals napiga ndio ujue ukue na gills
Msupa body is tea na ako ma cannabis leaves
Lowkey anakuanga amejipin si kiprop
Naskia kina work properly
Na arif msom tusafirishe mto
Na shagla zetu zi flow venye flow ka mto
Usilete za uso usipatikane ukipost
Mahali tuko izo reba zisifike uko post
In case uko nje hio ni case
Nisha ngasha nimepandisia Bape
Sina za Ferrari na DM imejaa "Hey"
True colors waezi mezo nimepaint
Lowkey, kinena kuna kitu haikosi
Nimejitambua sihitaji hizo trophies
Man a bad nimezoea mikosi
Not nice sijui kama umenotice
Najihusisha kama ikona manoti
Nachomoa kadhaa msupa ashageuka naughty
Lowkey kidosi, lowkey ni za kidosi