Naitwa Mangi
Handsome +
Kwanza sina makuu Sura inajieleza
Sibagui nguo vyovyote napendeza
Au madada duuh wanatokwa udenda
Nikifika tu wanajisogeza
Na sio salio na nahongwa adi mikoko ma mamamiloo midundo wanaleta shobo
Eti dadiyoo Dubai kuna part Njoo sina hizo buyu nala bati Joh
Madada wanajikweza waje ishi na mie Eeeh
Wanajikweza Wajeishi Na Mie Eeeh
Call Me
Handsome +
Nasifika kwa mapenzi na mademu kila kona sasa wananiita Handsome
Sikifika Kwa mapenzi na mademu kila Kona Sasa
Oooh My Yeah
Taarifa za mimama nazipata
Za vibinti Nazipata
Sio kuhongwa mi nishapelekwa dubai kula bata
Na ticket zikakatwa kila kitu bila shaka
Sura mbaya ni kitambo we Sasa hivi nshajipata
Puya ka Nimeoga Manukato
Pua yangu ikitokeza wanagongesha macho
Pisi yoyote kunipata lazima itoke jasho
Na mwendo wangu unaweza sema naenda kiminyato
Fake Smile Unaweza Sema Natafuta kumbato
Pisi kali una kibunda utakula kwa macho
Kwenye pesa kuna raha sileti minato
Pelekea sana moto wakapeane michapo
Na ndio sababu sina demu
Misala haiishi kutongozwa na mashemu
Birthday kila mwaka zawadi kem kem
Mpaka namwagika pesa kama chem chem
Ga damn
Dm nyingi nachanganyikiwa
Sifa zote ni kwa Mungu nimebarikiwa
Sura Bango imetakata ka Naogea Maziwa
Watu Wengine Wanagombewa Mimi napapatikiwa
Umeskiaa
Call Me
Handsome +