Elige una pista para reproducir
Navyotangaza sifa zako
kama naubiria dini
Naonyesha na picha zako
Huyu ndo mpenzi wangu mimi
You so beautiful ma
Unanifaa kinoma
Masaa nisipo kuona
Moyo noma noma
Mbingu nyota zatuona aah
Mungu anatuona aah
Penzi la baraka na tunapendana
Aa a hamna idea yani idea
Nini nimezamia aaaah
Penzi lake tamu
Tende haluwa aah
Jaman nimezama
(Ooh nimezama)
Kweli nimezama
(Aaah nimezama)
Kweli nimezama
(Nimezama ooh nimezama)
Jama nimezama
Aaaah nimezama
(Ooh nimezama)
Ukweli nimezama
(Aaah nimezama)
Jama nimezama
(Nimezama ooh nimezama)
Kweli nimezama
Mnaorusha mawe penzi letu sio la vioo
Tumelijengea zege zege
Lipo ngangaanga lipo ngangaanga
Ooh ya ya
Penzi lako nazima data
Hata waseme nini nini
Watu wazima walokosa haya
walokosa haya
Kwenye dimbwi la mapenzi nimezamaa
Sifurukuti sijiwezi nimezama aah
Aa a hamna idea yani idea
Ni nimezamia aaaah
Penzi lake tamu
Tende haluwa aah
Jaman nimezama
(Ooh nimezama)
Kweli nimezama
(Aaah nimezama)
Kweli nimezama
(Nimezama ooh nimezama)
Jama nimezama
Aaaah nimezama
(Ooh nimezama)
Ukweli nimezama
(Aaah nimezama)
Jama nimezama
(Nimezama ooh nimezama)
Kweli nimezama