Elige una pista para reproducir
Jina ni ree na napenda titties yoh
Pamba huanga safi unaeza cheki video
Skuizi sipatikani buda niko busy yoh
Mboka nishabadili nahit tu the studio
Nikicork 16 yeah you mussi run
Kama mp kasipul nawagundown
Bad to me bone wote nawafwaya buon
Bado niko kwa ground mnisa nanacontrol
Ati nani kama mimi nadhani unafananisha
Na pia ao wanisa nimekuja kulainisha
Nakuja kumaliza akuna ati kubahatisha
Namatisha nawatisha wote nawashikanisha
Fre fre fresh fresh like who?
Zoza side yao akuna kitu wanaeza doo
Fre fre fresh akuna kama mimi
Ukinishinda mkono nakudunga na upini
Hawaezi kunicheki ata watumie darubini
Mi nataka nisambaze adi afrika kusini
Niko physically fit kama Gymnast
Aint no puppy show hapa ni mabigdogs
Uezi roga kama mi utapata blisters
Nanasema hawanioni kama cena
Jina ni ree na napenda titties yoh
Pamba huanga safi unaeza cheki video
Skuizi sipatikani buda niko busy yoh
Mboka nishabadili nahit tu the studio