Elige una pista para reproducir
Usidundishe figo kabla tujakill the head
Kijana alichizi after kueka bullet head
Ni heaven ama uyu jamaa ametoka hell
Mmhhh.sanse amekata kumchukua cell
Naa watu wanateta wa endereree
Cine ka mlugya amekula tereree
Ustake shetani man zikunyemelee
Na kile mi nafanya ni lazima iendelee
Iendelee ndio tupime dna
Si nn m t I p a ndio wajue mi ndio mcm
Na kamahuamini aii bado iko b a
Mazombi uku kwetu zina kaa anga
Chips adi vidole zinakarangwa
Mgeni ni wetu anaparangwa
Jifanye wetu utakamatwa
Na hakuna kitu walitufanyanga
Woi wote washa tugwaya na
Boi ako na mboi sa zetu zitakuchanganya danganya
Swezi kudanganya 2
Script ilikua ya movie but akiwaest project
Carbage nawapatianga gunrange
Ndio aki weast product bandage monday
Na joker hii movie nawamada
Spinal na ndio wanakipata
Usiwai kuja kaa akuna kenye utapata
Alida kupurura kuna kenye ilimkuta
Kapuka masaa zime turunda
Sitasema niliwai kwa ile duka
Maliza hii movie sa ni mabunda
Danyanya swezi kudanganya
Na hakuna kitu walitufanyanga
Woi wote wacha tugwaya
Na boi ako na mboi sa zetu zitakuchanganya
Dangaya swezi kudanganya x 2
Mazombie huku kwetu zina kaa anga
Chips adi vidole zinakarangwa
Mgeni ni wetu anaparangwa
Jifanye wetu utakamatwa
Na hakuna kitu walitufanyanga
Woi wote washa tugwaya
Na boi ako na mboi saa
Zetu zitakuchanganya danganya swezi kudanganya x 2