Elige una pista para reproducir
Zinashii
Si zinashii kwa kichwa naskia wololo
Ka Dem ka peng kamenifunga minyororo nataka friendly na
Uwanja ikue godoro ni akinigusa naskia tu wololo
Si zinashii na zangu zimeriet
Si zinashii na zangu zimeriet
Si zinashii na zangu zimeriet
Nakuambia zimeriet
Nakuambia zimeriet
Zimekanashii si zangu zimeriet
Yupendanga hii temperature ikiwanga maliet
We nani zied juu huwezi fika bei
Anapendanga mastingo anadai tuifanye
My away juu tuko away keroma take away
Mchuano all day Yani home and away
Msupa by the way huwanga si delay
Na ka we bei Kali naweza kufika bei
Si zinashii kwa kichwa naskia wololo
Ka Dem ka peng kamenifunga minyororo nataka friendly na
Uwanja ikue godoro ni akinigusa naskia tu wololo
Si zinashii na zangu zimeriet
Si zinashii na zangu zimeriet
Si zinashii na zangu zimeriet
Nakuambia zimeriet
Nakuambia zimeriet
Si zinashii na zangu zimeriet ma ngusu
Na makali na hatupendangi madree
Mabazenga in the building tukifika ni sherehe
Ndani ya mbosho Kuna Doo tunafuatwa na mapeng
Huku bill ni za Thao we bado unangoja Soo
Naskia adi stima ikikatwa nakuja na power saw
Nikate bei wanitii na bado nitagawa dollar napiga show wanati
Usishangae hunijui my guy me hucheza
Low-key hii flow ni maji maji na ndani Huwa rocky
Nina pochi pochi Nene na ndani Iko na noti
Usi judge ukinicheki ukiniona na vest ndani ya koti
Si zinashii kwa kichwa naskia wololo
Ka Dem ka peng kamenifunga minyororo nataka friendly na
Uwanja ikue godoro ni akinigusa naskia tu wololo
Si zinashii na zangu zimeriet
Si zinashii na zangu zimeriet
Si zinashii na zangu zimeriet
Nakuambia zimeriet
Nakuambia zimeriet