Elige una pista para reproducir

This is real (ƳeaH)
I Dont know how to Say this shii
But this is real
(ƳeaH)
Naomba pesa zibadilishe iLa kamwe tusibadilike
Tutachelewa iLa ifike muda tufike Utanielewa
kinachokwenda kinarudi Sa nipishe
Hizi sio ndoto hizi ni mishe
Na demu wangu simba jike (Mahn)
She grinds (ah yeah yeah)
Alafu akinicheki all the time (ah yeah)
Namwambia niko busy for the time
Baby you know nataka vitu vikae fine
And i really know am yours
But you know the game is mine Anamind
Sema mind iKo dodoma nishazama
Ni simu zinaita sana vigumu kuepa lawama
couple girlꜱ i used to know, ambao hata hatuongeagi sana
Ilikuwa usiku saivi mchana inabidi nikaone wana
Nawachana kwamba game bila kiki bila drama
Bila zana biLa beef biLa pisi kama nyama
Bila ufake bila tag bila chawa bila chama
Bila flani anamjua flani na bila kujuana sana
Ni wanakunja (ah yeah)
tunavunga (ah yeah)
Hatukwami mpaka tupamie mabunda(ah yeah)
Bado nunda (ah yeah)
tunadunda (ah yeah)
Si wanyama ila hautukuti tunachungwa
Then wananambia mwana chill
tukwambie kuhusu mtaa
Kuhusu flani na flani walikichafua wakatambaa
Kuhusu one time moja inabidi kuepuka tu hizi njaa
Sema tumuombe tu jah wala tusikate tamaa
This is Real (yeah)
I Dont know how to say this shiii
But this is Real
You don't know how it feels
Then nazama Home inabidi niongee na mama
Ye anachoomba ni mwanae tu niwe salama
Nikiokota mi simsahau ye hunambia vitu vya maana
Na kuna kitu kimoja yeye huwa aachi lalama Kuwa
vipi kuhusu game hivi lini litakupa cash
Mi naomba uje utoke bila chuki bila kesi
Bila dawa bila baya ama tetesi bila stress
Bila kuzama gizani ili mambo yaje yakae fresh
This is Real
Ƴeah
I don't know how to say this shit