Elige una pista para reproducir
Exclusive sound
Aaah-aaa
You better save my number
You better save my number
You better save my number
Kuna jambo Mungu atafanya
I say time, will tell
Kuna jambo Mungu utafanya
Mungu utafanya
I say time, will tell
Kuna jambo Mungu utafanya
Naamini Mungu utafanya
Nitauchukua muda
Magotini pako
Atakama sijaona bado
Atakama sijaona bado
Uwe Alfa wa Mwanzo wangu
Na uwe Omega wa Mwisho wangu
Hivi mi nilivyo leo
Sivyo nitavyo kuwa kesho
Kuna jambo jipya
BWANA atafanya
Hivi mi nilivyo leo
Sivyo nitavyo kuwa kesho
Kuna jambo jipya
BWANA atafanya (Aisee, BWANA atafanya)
La-la-la-la-la (BWANA atafanya)
U-la-la-la-la-la (Ooh, BWANA atafanya)
La-la-la-la-la (BWANA atafanya)
U-la-la-la-la-la (BWANA atafanya)
La-la-la-la-la (BWANA atafanya)
U-la-la-la-la-la (aisee, BWANA atafanya)
La-la-la-la-la (BWANA atafanya)
U-la-la-la-la-la (Ouyeee)
Save my number (Iyee)
You better save my number
Save my number
Kuna jambo Mungu atafanya
Nitasubiria
Majibu yangu
Atakama yamechelewa
Ouyee yeyeee
Nitangojea
Mahali hapa
Mchana na Usiku
Ouyee yeyeee
Najua hauwezi
Mwacha mwenye haki
Wako aangamie
Yeye, yeye
Mtu akimgusa
Kagusa mboni ya
Jicho lako We
Hivi mi nilivyo leo
Sivyo nitavyo kuwa kesho
Kuna jambo jipya
BWANA atafanya
Hivi mi nilivyo leo
Sivyo nitavyo kuwa kesho
Kuna jambo jipya
BWANA atafanya (Aisee, BWANA atafanya)
La-la-la-la-la (BWANA atafanya)
U-la-la-la-la-la (Ooh, BWANA atafanya)
La-la-la-la-la (BWANA atafanya)
U-la-la-la-la-la (BWANA atafanya)
La-la-la-la-la (BWANA atafanya)
U-la-la-la-la-la (Aisee,BWANA atafanya)
La-la-la-la-la (BWANA atafanya)
U-la-la-la-la-la (Ouyee)
Save my number (Iyeee)
You better save my number
Save my number
Kuna jambo Mungu atafanya