Elige una pista para reproducir
Naona bora afadhalli basi nioe mke basi muwe wawili
Nimepungua yangu imani, wananicheka ona majirani
Penzi nilo kumwagia, utamu wa ndoa unaniishia
(Ahaaa)
Wazazi wanaulizia, mpaka lini watasubiria,
Eh, Nayaheshimu yako maamuzi, mara mbili fikiria
Ujana moshi hauna ujuzi,
Sote njia tunapitia Nayaheshimu yako maamuzi, oohoo
Ujana moshi hauna ujuzi, mke wangu eehe
Naona bado, naona bado, hujarudhia kuishi na mimi
Naona bado, naona bado, ndo maana hutaki kuzaa na mimi
Naona bado, naona bado, hujarudhia kuishi na mimi
Naona bado, naona bado, ndo maana hutaki kuzaa na mimi
Mbona ogfya hadharani, na matisho za mke wa pili
Najawa mie na majonzi, kwa kujua tena huniamini
Naomba uwe na subira, sioni jinsi kw'aki kukuzalia
Wakati wetu utafika, tuwe na sisi familia
Yaheshimu yangu maamuzi, naomba penzi wewe subiria
Hili jambo nzito la uzazi,
Bado mie nalifikiria Heshimu yangu maamuzi, hooo!
Hili jambo si la ujuzi,
Bado mie nafikiria Naomba bado, naomba bado, muda hujafika kuzaa nawe
Naomba bado, naomba bado, subiri kidogo bwana we
Naomba bado, naomba bado, muda hujafika kuzaa nawe
Naomba bado, naomba bado, subiri kidogo bwana we
Nimejaribu kukwambia, hebu tuzae hata mtoto mmoja
Majibu nimesubiria, sikuelewi daily unasema ngoja
Unaogopa kupoteza ujana (no)
Unataka tuishi kama jana (no)
Eti bado mapema, kifungu gani cha ndoa kimesema (kipo)
Yaheshimu yangu maamuzi, naomba penzi wewe subiria
Hili jambo nzito la uzazi,
Bado mie nalifikiria Nayaheshimu yako maanuzi, ooh
Ujana moshi hauna ujuzi, mke wangu ee!
Naona bado, naona bado, hujarudhia kuishi na mimi
Naona bado, naona bado, ndo maana hutaki kuzaa na mimi
Naomba bado, naomba bado, muda hujafika kuzaa nawe
Naomba bado, naomba bado, subiri kidogo bwana we
Sudi we wacha papara muda wetu utafika