Elige una pista para reproducir

Oyaa Dyler
Ollah
Wananiita Mangi
Na siku hizi
Sieti again
Anaitwa kichwa muhuni wetu wa Temeke
Haogopi shari, vita, wala maseke
Jana tu kampiga mama yake mateke
Kariakoo kamuibia hela kiwete
Kavurugwa anabishana na redio
Kesi ngumu kam'baka mtu ununio
Sa ndio nini kumtongoza hadi mkweo?
Ukilewa unataka wake wa wenzio
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umeroo umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umeroo umerogwa
Kariakoo, Manzese wameshakuchokaah
Ukielekezwa unadai washamba hawajatokaah
Sio bureeh, kaiba Keko bwana huyu mtoto wa kivuleeh
Kama noma na iwe Manyota aende shule
Kama ukipita mtaani kwake washa fegi uonekane kama selaa
Ficha hiko kibegi maana muhuni kitamkera
Akikuuliza chewa sio?
Sio sioo
Pasopa sio?
Fanya kama unapiga sala acha ndala chapa mbio
Kavurugwa anabishana na redio
Kesi ngumu kam'baka mtu ununio
Sa ndio nini kumtongoza hadi mkweo?
Ukilewa unataka wake wa wenzio
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umeroo umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umeroo umerogwa
Sio moshi, gambe, au sembe
Labda tuseme vinampa wenge
Bila kikosi, bila ya genge
Singo mtingo anapita denge
Ana balaa huyoo kama mtoto Iddy
Ana vikosi kila mtaa
Kama Generali wa magwiji
Mtaani wanamuita Chaafu
Namba chaafu
Eyes on paper ficha hizo pochi
Ukibisha Unakula kofi
Ukibisha unafuta goti
Tena huku mtaani siku hizi haskiki
Mpaka maskani hwamtaki hapiti
Moko namba akitipa mtiti
Kiubishi ubishi njaa za fisi
Kavurugwa anabishana na redio
Kesi ngumu kam'baka mtu ununio
Sa ndio nini kumtongoza hadi mkweo?
Ukilewa unataka wake wa wenzio
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umeroo umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umerogwa
Sio bure umeroo umerogwa
Kavurugwa anabishana na redio
Kesi ngumu kam'baka mtu ununio
Sa ndio nini kumtongoza hadi mkweo?
Ukilewa unataka wake wa wenzio