Elige una pista para reproducir

wananiita jay
Ajabu penzi limeshaota mbawa
Kama siko sawa hili penzi ndio dawa
I want more time with you
Together in the shower
Tunywe na kahawa
Tukule bila kunawa
Sikujua maana ya mapenzi
Umenifundisha kuenzi
Raha kuzifaidii
Naah umeutua moyo umeutua
Napata baridi kabisa napoa
Kwenye hii sayari hakunaga jua
Ni mapenzi yako
Matamu kitumbua
Mwenzako mimi
Hata sielewi eeh x2
Hata sielewi navyoendeshwa na penzi lako
Hata sielewi eeh x2
Hata sielewi navyoendeshwa na penzi lako
Shaaah
Ololololololooh ooh lalaaah
Aaah napenda jinsi unashuka mlima
Naah na tena vile unakata sitima
Nachoka mazima
Basi nipe nyama na sima
Aah tetema ruksa kuringa umepima
Aah don't leave me lonely
Lonely mwenzio
Nnalakusema tega sikio
Nikikuona wewe moyo unaenda mbio
Basi mechi ya jana leo marudio
Naah umeutua moyo umeutua
Napata baridi kabisa napoa
Kwenye hii sayari hakunaga jua
Ni mapenzi yako
Matamu kitumbua
Mwenzako mimi
Hata sielewi (ooh mimi)
Hata sielewi (ooh lalaleeh)
Hata sielewi mmh navoendeshwa na penzi lako
Hata sielewi (ooh lalaleeh)
Hata sielewi (ooh lalaleeh)
Hata sielewi aah navoendeshwa na huba lako mmh"