Elige una pista para reproducir

Aaah aaah aaah
Taharuki ndani kumefifia,
Mizozo balaa aibu kulia
Sio kawaida tumesikia,
Nahodha wa meli eti kukaa nyuma
Oooh husda imemnyimaa,
Oooh barafu kwenye mtima
Oooh Hasikilizwi kauli,
Oooh naye ni mtu mzima
Kwani yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha x2
Chombo kinazama
Yuu wapi nahodha x3
Chakwenda mrama
Yuu wapi nahodha x3
Chombo kinazama
Yuu wapi nahodha x3
Chakwenda mrama
Nasiri za ndani kuhadithia,
Shoga katamani jamvi kakalia
Udugu amani tulifikia,
Hisia chomboni mwishowe twazamia
Oooh kabla ya kupenda pima,
Oooh wapenda kwa akili nzima
Oooh usiwe mchimba kisima,
Oooh ukatumbukia mazima
Kwani yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha x2
Chombo kinazama
Yuu wapi nahodha x3
Chakwenda mrama
Yuu wapi nahodha x3
Chombo kinazama
Yuu wapi nahodha x3
Chakwenda mrama"