Elige una pista para reproducir
Kizazi kizazi kizazi kijacho
Kinatu kinatu kinatutegemea
Ila mtu sio mtu
Kama hana utu
Kama hana utu ooh yeah
Na ni shwari kujali watu
Wengine
Wengine ooh yeah
Haina haja haina haja
Kujifikiria tu
Haina haja haina haja
Kujiwaza tu
Ningependa sisi sote tuelewe
Kizazi cha kesho ni kama
Watoto wetu
Watoto wetu
Wanatutegemea
Wanatutegemea
Wanatutegemea
Tusi waangushe
Tuchangie, wawe na Maisha sawa sawa
Tuchangie, wawe na Maisha sawa sawa
Tusiache na mila ah
Tutakua watumwa
Tusafishe nia
Tusiadhiri vizazi vijavyo
Miti na tupande kwa asana,ooh kwa sana
Mazingira tuyajali kwa asana,ooh kwa sana
Kama masomo tuwafunze wana wetu
Na nidhamu tusiache bana eh
Biashara tuanzishe sasa
Na Amani tuidumishe sana eh mmmh
Ningependa sisi sote tuelewe
Kizazi cha kesho ni kama
Watoto wetu
Watoto wetu
Wanatutegemea
Wanatutegemea
Wanatutegemea
Tusi waangushe
Tuchangie, wawe na Maisha sawa sawa
Tuchangie, wawe na Maisha sawa sawa
Tuchangie, wawe na Maisha sawa sawa
Tuchangie, wawe na Maisha sawa sawa
Kizazi kizazi kizazi kijacho
Kinatu kinatu kinatutegemea
Kizazi kizazi kijacho
Kinatu kinatu kinatutegemea