Elige una pista para reproducir

Kama ni mapenzi yaniuwe basi yaniue
Huu mzigo basi niutue
Kama siyajui nipeleke shule baby
Kwengine sioni penzi lako lanipa upofu we
Kwa mikono yako nichukue
Kwenye makorongo usinitue baby
Me nishajigamba sana kwa masela majita
We ndo changu kipenzi nishawaambia
We ndo changu kipenzi
Sa usije kunichanganya mwenzako nitakwisha
Si ushajua siwezi bila ya penzi lako mimi siwezi
Mimi mimi
Watu
nitawambia nini watu x3
Mimi
Watu
Nitawambia nini watu x
Mimi
Bila we mi nitaukosa uhai
Bila we life halita noga
Ni raha tu vile unanikosha
Utaniambia nini kuhusu mapenzi
Kwako nimegota nikikuona ka nimeona nyota
Kwa penzi lako chozi la nidondoka
Basi usiniweke roho juu
Me nishajigamba sana kwa masela majita
We ndo changu kipenzi nishawaambia
We ndo changu kipenzi
Sa usije kunichanganya mwenzako nitakwisha
Si ushajua siwezi bila ya penzi lako mimi siwezi
Mimi mimi
Watu
nitawambia nini watu x3
Mimi
Watu
Nitawambia nini watu x
Mimi"