Elige una pista para reproducir
Sencillo / Pista
Ywsu ni mzuri tazama alijitoa kwa
ajili yetu akja akaa kwetu
akatoa uhai wake kwa ajili yetu
ni upendo gani zaidi ya huu kwamba
mtu afe kwa ajili ya rafikize
hakuna zaidi hiii
hili ndio pendo kuu pekee