Elige una pista para reproducir
U turn niki digii sanse
Ndatoka spoon na mi si mkale
Niki rauka ngware energy ni ya packe
Nda grab hio tenje nikaa na grab shake
Huku street si ni ma fadhe
Kitu siezi fanya niku ruka brathe
Tulizi masku hadi tuka toa mboka mathe
Niko shughli Monday to Sunday
Siezi kata keki hapa si birthday
Mrazi bugda tena sunda disco matanga
Tafuta ganji ndio mana hauna marada
Purura ngati
Kaa haunijui usi ni chanti
Maziwa iki soma napiga sir jah asanti
Si mazishi lakini nimepiga suti
Kwa keja umbwa hatar arif tuliza wasiwasi
Luku freshi ime pigwa pasi
Hakuna kulalisha nasonga na mwendo wa kasi
Meno ina shine daily napiga mswaki
Siezi nuka shida aroma ni marashi
We ni jicha hatuwezi kosana juu ya ganji hio ni karatasi
Ka haunipendi mi sijali
Nashikisha digitali
Utateseka kaa we ni msaliti
Mbona ni bangaize na mi si kiti
Una mumunya kitire na si sweety
Fala siku izi anadai ye ni gwiji na hata ha ng'am vako za jiji
Msupa anadai kupanda mguu ya utat na mi si mti
Tafash kuni pima hata kaa uko na ratili
Huku east kubambwa daily nisha zoea kutuna kwa simiti