Elige una pista para reproducir
(E-E-EMB Records)
Diana nah nah (Diana)
Diana nah nah nah (Diana)
Diana nah nah (Diana) (Teddy B)
Diana
Uremanye ubwenjye
Ikurema yari yaraye ikurota
Baby romantic, siwezi waza nikikupoteza
Subiria, subiria nikisubiri mpenzi
Si nilikupa mapenzi, narudia baby
Ukinitoka baby itauma, nami nitakonda, yeah
'Cause nobody compared to my woman
Ulivyo mzuri kama dolly (Diana)
Roho yangu taabani (Diana)
'Toka zamani (Diana)
Bado ni wewe natamani (Diana)
Give me love (Diana)
Nitakupeleka kwa mama (Diana)
Sina ujanja nakupenda (Diana)
Ngukunda ur'umwe sinkubesha (Diana)
Na mbona tunagombana,'Nabishana, 'pigana?
That is not for me
Ni we' napenda nataka na sina mwingine ma'
That is all for me
Nobody else that deserves you
Wanajua we ni wangu
I'm gonna marry you one day
Iminsi yose iba sunday baby but you know
But our song is on repeat
Said I love you darling
Nubwo iminsi yaba mibi
Still I will love you baby
Ukinitoka baby itauma nami nitakonda
'Cause nobody compared to my woman
Ukiuliza majirani (Diana)
Aki ni wewe natamani (Diana)
Na ukisema sifai (Diana)
Aki sina amani (Diana)
Give me love (Diana)
Nitakupeleka kwa mama (Diana)
Sina ujanja nakupenda (Diana)
Ngukunda ur'umwe sinkubesha (Diana)
Ni Bahati tena (Diana)
Na Bruce Melody (Diana)
Rwanda to Kenya (Diana)
Tuwape melody (Diana)
Uremanye ubwenge, ikurema yari yarayikurota
Diana nah nah (Diana)
Diana nah nah nah (Diana)
Ulivyo mzuri kama doli (Diana)
Roho yangu taabani (Diana)
Toka zamani (Diana)
Bado ni wewe natamani (Diana)
Give me love (Diana)
Nitakupeleka kwa mama (Diana)
Sina ujanja nakupenda (Diana)
Ngukunda ur'umwe sinkubesha (Diana)
Give me love (Diana)
Nitakupeleka kwa mama (Diana)
Sina ujanja nakupenda (Diana)
Ngukunda ur'umwe sinkubesha (Diana)