Elige una pista para reproducir

Baaado bado sijachoka bado
Baado bafo sijachoka bado
Napambana aaah bado sijachoka
Baado bado sijachoka bado
Iwe milima mito jua kali
Nitambana usiku kucha silali
Nitapigana tu nipate ka ugali
Ataniletea mungu hajawai bagua
Maana alisema asiyefanya kazi na asile
Ndo mana mpaka leo bado napambana ndo nile.
Nikiamka nimekunja ndita,tena niko tayari kupambnia maisha
Naskia ka sauti inaniita ya midundo ya ngoma na minyuzi ya guitar
Ni vile muda wangu ndo haujafika
Na kama ukifika we ntaburudika
Kwa yote magumu niliyo ya pita
Nikizipata mbio zangu makilomitaa
Moyo wangu unanimbia bado
Nisikae nisimame
Moyo wangu unaniambia bado
Nipambane nisikwame
Sometimes you may feel like
No body is on your side
You have got to know in your life
Mungu ndo kimbilio
Kuna siku utapata siku utakosa
Usiogope kuanza upya
Maisha ni kama kioo
Wanangu wa machinga mnaokimbizwa na police
Wanangu wa road wote mnaouza chipsi
Wanangu wa shamba mnao ng'oa visiki
Tuendelee ku kaza mungu atafungua njia
Boda boda daladala mambo vipi
Hamsini kitu unga unga mambo vipi
Wanangu wa keko segerea mambo vipi
Tuendelee kukaza mungu atafungua njia
Moyo wangu uniambia bado
Nisikae nisimame
Moyo wangu unaniambia bado
Nipambane nisikwame
Baado bado sijachoka bado
Baado bado sijachoka bado
Napambana bado sijachoka bado
Baado bado sijachoka bado
Na kama kibali kanipa kipaji
Hata kama ni mbali naanza safari x2"