Elige una pista para reproducir
Papapaloma Kwani we ni fundi cheki vile umeshona
Papapaloma unaniambukiza utanshikisha homa
Nananaanaa navile unatesa kaa tanasha donna
Papapaloma navile unapika naona ntanona
Papapaloma Kwani we ni fundi cheki vile umeshona
Nananaana navile unapika naona ntanona
Juu ya story ya katelyna
Niliachanga kwa meli
Kukataa maji ndio naskianga very
Me nimorio na ex wa me njeri
Bukla 5 am ni on a daily
Masherry alincheckk wa Telly
Me ndio captain maji yake sailing
Juu mlima nikipanda no failing
Zoe vile namulika brown skin kuliko sue
Nikiskia njaa niko border namanga
Juu ya maashash utanipata nimenyanya
Party tonight tunapendana
Party tonight tutapeana
Papapaloma Kwani we ni fundi cheki vile umeshona
Papapaloma unaniambukiza utanshikisha homa
Papapaloma Kwani we ni fundi cheki vile umeshona
Nananaana navile unapika naona ntanona
Na ngwelo umeiva imeiva kuliko huyo diva nyihuita sidika
Niko na ganji na yule atapenda kwa kweli
Ajue atasaidika
Whine your waist usijali juu ya face
On your case tunacheza na hiyo pace
Down chini Down chini Down chini kama earthquake baeybe unatetemesha
Sina pressure nakupenda saa ya leisure
Chakula tamu unanilisha
Sijui nikuite geisha mbele ya watu umesafisha
Mbele ya watu umesafisha