Elige una pista para reproducir
Hii side tunadunda tunadunda na vibenje
We ni banii Unaeza tokwa adi ka tenje
Waki trace fuck labda na masansse
Tuko juu ya senkeee tuko juu ya teke
Hii side tunadunda tunadunda na vibenje
We ni banii Unaeza tokwa adi ka tenje
Waki trace fuck labda na masansse
Tuko juu ya senkeee tuko juu ya teke
MI ndo queen so Sina time ya kuskizia your lip talk
Cheap talk zitanipanga symptoms
Mchezo za kibinti MI sitaki paka lipclose
Rasta bila girl mwambie nigga shusha ego
Ukitwona toka tenje coz we umebeba tenje
MI na piga usoro back side na run teke
Cheki MI nakusukq mbio unakuja teke
Mbogi yangu wagwan zinakuja na senke
Romance kidogo chali anambao
Kitu na fair mybe saisai ni karao
Romance kidogo chali anambao
Kitu na fair saisai nikarao
Hii side tunadunda tunadunda na vibenje
We ni banii Unaeza tokwa adi ka tenje
Waki trace fuck labda na masansse
Tuko juu ya senkeee tuko juu ya teke
Hii side tunadunda tunadunda na vibenje
We ni banii Unaeza tokwa adi ka tenje
Waki trace fuck labda na masansse
Tuko juu ya senkeee tuko juu ya teke
Hulingans sembuse mataliban cheki tenje ikam ama ufiche nikikam
Niki ispoti manze utajamm Utapaka jam bread alafu nikuchai
Tume upgrade Ata uwezi tuna Sai Chai Chai Mali adi mchinese ndani
Chai Chai adi mtaa iliwachwa na amani
MI nko na ramani mweke vitu Zenyu ndani
Ahh MI ndo ule rapper ahh ule mrass mjass
Nakukata nkikupata inje nakupuliza kuchanjwa
Mdomo na ili banjwa funga ama ipige lock Kwanza
Hii side ogopa kubeba tenje mbogi mbaya inakujanga na senke
Hii side ogopa kubeba tenje mbogi mbaya inakujanga na senke
Hii side tunadunda tunadunda na vibenje
We ni banii Unaeza tokwa adi ka tenje
Waki trace fuck labda na masansse
Tuko juu ya senkeee tuko juu ya teke
Hii side tunadunda tunadunda na vibenje
We ni banii Unaeza tokwa adi ka tenje
Waki trace fuck labda na masansse
Tuko juu ya senkeee tuko juu ya teke