Elige una pista para reproducir
Mboka (Mboka)
Doba (Doba)
It's alright we ni mfupi ndio maana unalook up to me
Ground tunajua vizuri Buru' haikuangi East
Saka stage upark nduthi ndio ukam tu beef
1960 ndio real usicap Marvin
Transport yenyu nimepandisia kwa ngoshi
Niwakupita tunajua ni ma-moshi
Ati odi, si wote tunajua nyi ni ma-soshi
Ni Addi Teacha lazima tu mngecopy
So
Kojolelea
Ngori, chunga ni nani unaongelelea
Cold boy hadi kwa freezer nawatokelezea
Dumpsite ma-acid kuna mahali wataozea
Dumpsite
Kojolelea
Ngori, chunga ni nani unaongelelea
Cold boy hadi kwa freezer nawatokelezea
Dumpsite ma-acid kuna mahali wataozea
Dumpsite
Tukudump vulai na tuko on ma-site
Unajua nini kuhusu kutafuta kusurvive
Ukifagia na toja CBD nilikua na chai
Wangapi wamedunda ulizia Mike na Maasai
Ndege ya London imecrash into Jamaica
Dream ya kutoka block walibaki wakirienga
Msee wa onkada hajai pendana na wa murenga
Vuta mbegega fala anasepa
Mwenye atatoka omtiti wa kwanza akona jegi
Juu ya wagon na usundwe ndani ya begi
Tukiwa mathegi mlikua mnatrend mneti
Mkijifanya mapedi nikisumbuana na mavedi
So
Kojolelea
Ngori, chunga ni nani unaongelelea
Cold boy hadi kwa freezer nawatokelezea
Dumpsite ma-acid kuna mahali wataozea
Dumpsite
Kojolelea
Ngori, chunga ni nani unaongelelea
Cold boy hadi kwa freezer nawatokelezea
Dumpsite ma-acid kuna mahali wataozea
Dumpsite
Sina worry wakisakwa
Search Muthaiga kwa Google na jua ni kitu different umepata
Niko solo labda ukuje na your brothers iza
Niko hood na magoon naita brothers
Wanajaribu ku distract career
Na izo diss track bandia
Mbato na kila msee mwenye amekuaminia
Ku dick ride kwa hii mti utadhani Zakaria (Kalia kalia)
Kojolelea
Ngori chunga ni nani unaongelelea
Cold boy hadi kwa freezer nawatokelezea
Dumpsite ma-acid kuna mahali wataozea
Dumpsite