Elige una pista para reproducir
Ehh bwana ninakupenda
Nakupenda
Ninayo kila sababu baba
Ya kukupenda
Umenitendea mengi ya ajabu
Hata kulipa siwezi baba
Pokea sifa
Ehh bwana ninakupenda mimi
Nakupenda
Ninayo kila sababu baba
Ya kukupenda
Umenitendea mengi sana ya ajabu
Nakupenda baba
Nakupenda
Nakupenda
Kila ninapokutafakari natetemeka
Kwanini unidhamini mimi mwanadamu
Ninajua ni kwa neema kuu umenibeba
Nakupenda baba
Nakupenda
Nakupenda
Kila ninapokutafakari natetemeka
Kwanini unidhamini mimi mwanadamu
Ninajua ni kwa neema kuu umenibeba