Elige una pista para reproducir
Anauliza ka nko na doo sana Nana Nanana ama
Na vile nasmama Jana nlikua ma cha nga nga aaaahhh
Anauliza ka nko na dooo sana nanana ama
Nam show ni usaniii Saana Nanana na aaahhhh
Mtipa ni comedian nikichizi ondoka mbogi yangu
Mtipa ntakubondea ukintoa kwa zone
Shori akam apewe na bill ni yangu
Fiest Uwaga kubwa nakula na ndugu zangu
Niko na murder case juu ya kutupa pesa
Atempt ama ni robbery na MI na rowesa
Ni usaniii tuu dish kuberefuu aah dejavuu kama naeza ngoa mguu
Anauliza ka nko na doo sana Nana Nanana ama
Na vile nasmama Jana nlikua ma cha nga nga aaaahhh
Anauliza ka nko na dooo sana nanana ama
Nam show ni usaniii Saana Nanana na aaahhhh
Mi ukua mbad uliza mad
Sa producer amen seti vitu bad
Producer Sa aki cheza vitu hard
Kunalipuka teacher am the class
Ati ahh nimenyaku tei adi na abduct fai
Chai chain simpei kichwa yake iko na vein
Nime mpea shot moja sai anatwak njei
Vako zangu nilimshow sana Nana. Nana Nana... Ahhhh!!!
Anauliza ka nko na doo sana Nana Nanana ama
Na vile nasmama Jana nlikua ma cha nga nga aaaahhh
Anauliza ka nko na dooo sana nanana ama
Nam show ni usaniii Saana Nanana na aaahhhh