Elige una pista para reproducir
(Kassu)
Hiyeee eeh hiyee eh eh hee
Heri itoweke roho yangu nisiishi duniani
Umegeuka mnyama flani unaishi milimani
Kumbe ni nyoka tu na umening'atang'ata sura yangu
Na haya maumivu kila siku kwangu tu
Naomba nishushwe nitembee kwa miguu
Nani anipe dawa ili nipate nafuu
Nitaificha wapi sura yangu
Mie hata likinigusa jani tu mi naogopa
Maana huko nyuma nishang'atwang'atwa na manyoka
Mie hata likitajwa lako jina naogopa
Maana moyo wangu ushaukatakata naogopa
Mi naogopa, Mi naogopa
Inatosha, Inatosha
Mi naogopa, Mi naogopa, Inatosha
Mi naogopa, Mi naogopa
Inatosha, Inatosha
Mi naogopa, Mi naogopa, Inatosha
Nimedhoofika mwili, ninakiri nimekonda
Wangu umepungua mwili
Kama sio wewe vipi ningekongoroka
Na we ni saa mbovu kwangu umepoteza majira
Mapema tu ungesema nisingemeza ningetema
Na lako kuti kavu niloegemea limedema mama
Mie hata likinigusa jani tu mi naogopa
Maana huko nyuma nishang'atwang'atwa na manyoka
Mie hata likitajwa lako jina naogopa
Maana moyo wangu ushaukatakata naogopa
Mi naogopa, Mi naogopa
Inatosha, Inatosha
Mi naogopa, Mi naogopa, Inatosha
(Mi mwenzenu mi sitaki)
Mi naogopa, Mi naogopa
(Haya mapenzi mi sitaki)
Inatosha, Inatosha
(Mapenzi bye bye, oh bye bye)
Mi naogopa, Mi naogopa, Inatosha
(heeeyy heeeeeyy)
Asante EddyPacks
Asante Kassu kwa beat
Inatosha
(Kassu)