Elige una pista para reproducir
Idhaa ni gani ntakusindua ma mali
Mtaa ni gani eastlando na machaji
Pigwa rwai toka dry anakubali
Hii ni wiu wiu wakitokea ni paji
Idhaa ni g ani ntakusindua ma mali
Mtaa ni gani eastlando na machaji
Pigwa rwai toka dry anakubali
Hii ni wiu wiu wakitokea ni paji
Si tuko hadi na wadhii ma pretty eastleigh
Tukipiga bizla jata pia za ma athlete
Ukitokea kirezi hiyo ni rezi pigwa tii
Ile mtaa utaniwai mambulu mad city
Road squad ma manyanga na madonda wamenyanya
Tuligwaria mabanger ju alidai kumkang'a
Mbogi waka lawama tunaseti alama
Alo alo riba gani riba zenu riba za uduu
Shashemene na maforeign bado napuruu
Tuko machaji na ma fallen soldier na salute
Ngumi limbi double genje chaji mana goon
Nigwan double v watazumbutuu
Mbogi senke tukipatch tukivroom
Voom voom alooo
Masaa mbaya hivo ndio tuna inzagi
Tukikung'amo umezoea ukoreani
Watanashati na hatutambuangi jadi
Court core lazima kitaivana
Diss you man you can't diss me man
Sundi ni mbati hepi ni nati
Juu me ni mnati nakosa chai ndio niseti ngwai
Mandikindiki zinakama na ubaya
Manife tunazirun na ubaya
Kujaa gas nazungusha na mbegetha
Na ikizama ni macharger wa kesepa
Me na machaji tulistick kama stapler
Veto veterans tukisepa
Me na machaji tulistick kama stapler
Veto veterans tukisepa
Idhaa ni gani ntakusindua ma mali
Mtaa ni gani eastlando na machaji
Pigwa rwai toka dry anakubali
Hii ni wiu wiu wakitokea ni paji
Idhaa ni g ani ntakusindua ma mali
Mtaa ni gani eastlando na machaji
Pigwa rwai toka dry anakubali
Hii ni wiu wiu wakitokea ni paji
Nimejipin na mbogiliz piga kwanza pic
Tuko in kwa hii scene na hatunaga za ki picnic
Singting luku clean mana goose chaji
Wazingting inawabamba wanaskia fiti
Senke tukipull up tukizidi bado
Mana goose goose hii ni singting bado
Eastside kama kawa mbogi tuko lit
Tukidunda inabaki rada clean tuko humble
Form iko wapi hii natoa form
Ka si form haitoi form basi hatukwom
Ati on tukiwaka tunabaki hapo pause
Double v double slim tuko full set zone
Hizi ndio isaa tuko full set
Songa na isaa tuko umojing
Ka anasosa bado ma isaa bado gizgiz
Wabling kila kitu inde
Waroro bado keki keki fine fine inde
Pull up na gang hizi yard tuko full set
Ukininyambishia basi ichachishe
Me na mbogi yangu strong tuko east kwa magwiji
Tuko full set zimeshika huku fiti
Idhaa ni gani ntakusindua ma mali
Mtaa ni gani eastlando na machaji
Pigwa rwai toka dry anakubali
Hii ni wiu wiu wakitokea ni paji
Idhaa ni g ani ntakusindua ma mali
Mtaa ni gani eastlando na machaji
Pigwa rwai toka dry anakubali
Hii ni wiu wiu wakitokea ni paji