Elige una pista para reproducir
ROROA BY MTIPA
Wa liuliza ka ntatoboa offcourse na roroa
Cheki hit that thing na dj niaongeze beat
Dance flow MI na kill hapa ni mimi na fit
Aaahhh yoo apa ni mimi na fit
Kuna mahaters walisema Sita make it ku lose hope na ku slide MI siwezi
Mistari zangu lylicaly ziko heavy
Ukinidiss na kudiss 'Ukinidiss MI nakill
Kuna mahearters walisema Sita makeit
Mkae Rada make Ready aki I made this
Nimeivia kwa mtego siwezi ingia
Tulimchangishia akaturingia
Nami si fala nikisema we ni fala
Baraka zinakam mingi adi zingine znanigwara
Kwanza Ukinidiss ntakudiss wakumiss
Na leta confusion uku In Der nama views
Nime shika nahuwezi kunitisha
Nashuka nayo nayo Stingo moja kuchachisha
Ni mtipa amenifeature huku mbele tuko na future
Hapa queen trigger anawapita anawaoshaa
Wa liuliza ka ntatoboa offcourse na roroa
Cheki hit that thing na dj niaongeze beat
Dance flow MI na kill hapa ni mimi na fit
Aaahhh yoo apa ni mimi na fit
Kuna mahaters walisema Sita make it ku lose hope na ku slide MI siwezi
Mistari zangu lylicaly ziko heavy
Ukinidiss na kudiss 'Ukinidiss MI nakill
Niko poa lakini si poa
Usi, Uki diss gaza pung MI ndo nakojoa
We man roroa ni meno ntakutoa
Juu Ukidis Man saff iwezi kuokoa
Ka nikutoboa minshatoba
Ka nkukojoa moto iwezi poa
Hater anani bonga biz hit nikutoa
Mbogi saik nareee mrass napenda kimale
Umefanya blanda ku nipata nika mmekanyaga wire
Wrong number wrong turn tuna ati nun stop
Ati nun stop piga fullstop ka boy nakapea kanaipiga one shot
Ati nun stop piga fullstop kaboy nakapea kanaipiga one shot