Elige una pista para reproducir
Njoo Uwanjani
Njoo Uwanjani
Njoo Uwanjani
Njoo Uwanjani
Weka! Funga mkanda Black Eagle wana ingia
Twende uwanjani usisubiri kusimuliwa
Mpira mwingi, bila asali, bila maziwa
Mpaka waki tuona wapinzani
Wana tu kimbia
Navyo ipenda hi Black Eagle
Mpaka ini uwe
Watoto wa Rock island usi tu zinguwe
Usiguse kikosi chetu na goalkeeper babu lu
Uyo, uko nyuma kuna alexi beki kisiki ndo uyo uyo
Uyo Enock anavyo kaba adi kivuli
Ezekiel ndo funga kazi funga shuuli
Uki wakuta wana uli zana ujue nunda kasha tupia
Nunda uyo
Uyo masudi, winger teleza ma goal ana nukia
Kama una jiweza siatutaki maneno
Njoo uwanjani
Ukiipenda Black Eagle shabiki
NJoo Wanjani
Mpira dakika Tisini
NJoo Wanjani
Wee Kama una jiamini
Njoo uwanjani
Njoo Uwanjani
Njoo Uwanjani
Njoo Uwanjani
Njoo Uwanjani
Sindo Black Eagle
Na uyo kocha Omari Ba
Wala ataki masiala
Masiala leta nje ya chati na sio ndani ya uwanja
Dino moto ka uwasha
Na pembeni kuna pasha
Dogo ray kafanya majilani hawana paku papasa
Black Eagle tuna vifaa Kamanda OG Muzzy Kati kati kuna matendo ndo middle ya team
Uyo Misa akiona mpira anapandisha wazimu na uyo Luk Ball kipaji Afananishwe na zizou Yes tuna pasi tuna reponse kama vipi?
NJoo Uwanjani
Uki ipenda Black Eagle shabiki
Njoo Uwanjani huu
Mpira dakika Tisini
NJoo Uwanjani
Wee kama unajiamini
Njoo Uwanjani
Wee njoo njoo njoo uwanjani
njoo! njoo! njoo! Njoo uwanjani
Kama unaipenda Black Eagle
njoo uwanjani
njoo! njoo! njoo!
Watoto wa Rock Island
Watoto wa Rock Island
NJoo Uwanjani
Sikia makini hii sauti
Ya watoto wa Black Eagle Eagle!
njoo uwanjani
Nasema Njoo uwanjani
Nasema Njoo uwanjani
Manager Demule
Joo Wanjani
Na Mashabiki Njoo uwanjani
hata wapinzani njoo Uwanjani
Wee tukutane uwanjani
Kama mnajiweza Njoo uwanjani
Njooo!