Elige una pista para reproducir
Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri
Kwa amani nayo dhiki
Yanifanya niwe jasiri
Yaniburudisha, nikirukaruka
Hosana, amen
Yaniburudisha, nikirukaruka
Nikiimba hosana, amen
Nina siiri
Nina siri naye Yesu
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki
Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, amen

(Nina siri na) Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba hosana, Amen
(Nina siri na Yesu) Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka)nikirukaruka
(Hosana) Hosana, amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, amen
(Nina siri na Yesu) Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba hosana, amen
Waambie wanaolia, wakiteswa na malimwengu
Waonjeni neema yake na rehema yake Mwokozi
Watafunguliwa, watawekwa huru

Wataimba hosana, amen
Nina siiri
Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba hosana, amen
(Nina siri na Yesu) Nina siri naye Yesu (Mwokozi wangu)
Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba hosana, amen
(Nina siri na Yesu)
Nina siri naye Yesu (hallelujah)

(Nina siri)
Nina siri naye Yesu (Hallelujah)
Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba hosana, amen
(Nina siri na Yesu)
Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Nikiimba hosana, amen
Yaniburudisha, nikirukaruka
Hosana, amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hossan) Hosana, amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
Hosana, amen
(Nina siri na Yesu)
Nina siri naye Yesu
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, amen
Hallelujah
Hallelujah
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosanna, amen
Hallelujah