Elige una pista para reproducir
Njeri ana whine, nab ado ako na vako za mgenge
Njeri ako na chaaali, nab ado anataka nimpende
Njeri ana whine, nab ado ako na vako za mgenge
Njeri ako na chaaali, nab ado anataka nimpende
Hauskii tukiwa mtaani anakuaga very shy
Akipita area kwanza akidunga tight
Ye hufanya nasimama ju nawaza nikimpata na
Sina tension ntamkuta kesho
Nimapunk ametokea loresho
Kama ntaweza kumpeleka rotejo
Akili inauma nguna me natafta
Njeri ameweza sana, alikua huku jana
Karibu tungekujana, ni vile nilikua nachana
Njeri ameweza sana, alikua huku jana
Karibu tungekujana, ni vile nilikua nachana
Me like the mandem fresh and clean
Na anajitambua he wants that scene
You know me vibe ukiwa na mimi
Nipee design wote watatii
Hi njeri hi hi
Ni salamu pia niko high
Like kq in the air
Niko nice but with ke like air
Hi njeri ex wako ni wa jeri ako na geri
Inengi flani mamchizi but
Mimi na wewe equation ni easy like ABC
You're my KBC light ni eight is B
Do you feel me B
Hi njeri hey siku zote huwa sunny
Yule mteja hapatikani nyeri alipatikana
Heri hata ungepick call ya mine
Nimekuhata saa udai vako za mine