Elige una pista para reproducir
Cheza chini, ebu relax
Msupa take it easy
Mbona unajaa gas
Mbona unajaa gas
Aaah si nimepair
Na hujaconnect
Me nadai kendelea
Aah ebu connnect
Aaah ebu connect
Aaah ebu connect,aaaah
Niko handas tunaongeza magode
Kuna kabinti kamebeba ni ka pole
Ananengua anafanya tuzitoke
Nika pum pum nimeshaka zoom zoom
Analike maachali wana roho juu
Anadai nimseti sichekshi
Kwanza namjenga ka cookie juu ye ni keki
Amenoki vibe leo kuna mechi
Vile umebeba maa kwanza hizo jegi
Nashow anifuate asikie freshy
Hana maringo bruv na ye ni pengtin
Hao mamorio leo nawaeka waiting
Cheza chini, ebu relax
Msupa take it easy
Mbona unajaa gas
Mbona unajaa gas
Aaah si nimepair
Na hujaconnect
Me nadai kendelea
Aah ebu connnect
Aaah ebu connect
Aaah ebu connect,aah
Naruka story sema maasai kando
Na stima zikiloba tunawasha ma candle
Nifollow home usifollow my handle
Juu utadie before ufike juu naishi kwa jungle
Tuko kwa party na pati na pati na hatupati ni ma ngoto ma timber kaki
Na bila shati ndani ya club ni makonyagi na cup za keg
League of kings tuko repesenting, nafurahia
Jay Alpha on the beat nimecome kuchachisha
Na hii ni talent buda usidhani na bahatisha
Na naamada sasa utadhani ni miujiza
Na wako tepes huko wanatingisha mathutha
Hapa ni kubaya, hapa ni kungori
Hapa ni mafisi wamejiseti kwa pori
Hapa jiachilie nikikuudhi am sorry
Hapa ni hapa tu ukiwa hapa usiwory
Cheza chini, ebu relax
Msupa take it easy
Mbona unajaa gas
Mbona unajaa gas
Aaah si nimepair
Na hujaconnect
Me nadai kendelea
Aah ebu connnect
Aaah ebu connect
Aaah ebu connect,aaah
The bluetooth device is ready to pair
Hii kitu naweza kupea ka ombea venye
Uko na taste fiti siwezi ku compare
Uniite player hio ni rare shani nieke top layer yeah
Ready to pair me hucome correct naweza ja gas ka tanker ya jet
Wuod apek uliza why unaeza zied
Sinsima me huzima me ni swimmer
Manzi keki naweza mdishi after dinner
Ka ana kilo hii ratili inaweza pima
Keep it real tukirirma
Cheza chini, ebu relax
Msupa take it easy
Mbona unajaa gas
Mbona unajaa gas
Aaah si nimepair
Na hujaconnect
Me nadai kendelea
Aah ebu connnect
Aaah ebu connect
Aaah ebu connect,aaah