Elige una pista para reproducir

Mmmh mhmmmhh wananiita nani
Jay once again
Pendo lisilo kinai kama wahindi mumbai
Nimezidiwa wallahi nalainishwa
Mkate kwa chai
Naona raha tu ukifurahi macho yako ndo ai
Mitego yao sijai nimeamua sa ndege sipai
Your my lover mwenzako napenda
When you kiss me, when you touch me
Mwenzako napenda
I'm crazy for your love je wewe kuweza
Nishazama mapenzini penzi lanimeza
Baby mwenzio
Unanimaliza
Me mwenzio
Unanimaliza
Sweet mwenzio
Unanimaliza
Me mwenzio
Unanimaliza
Nilipo napewa raha za pwani
Sio siri jamani hakuna kulala
Sa ndo nini hivyo kuni changanya honey
Fasta ka cherehani utanipa lawama
Basi mi nguvu nakua sina
Hayo mambo kwa ndani ukiifinya
Ukiifinya baby ukiifinya x2
Kindoo nashindwa kumimina
Sababu mi nguvu nakua sina
Ukiifinya baby ukiifinya x2
Your my lover mwenzako napenda
When you kiss me, when you touch me
Mwenzako napenda
I'm crazy for your love je wewe kuweza
Nishazama mapenzini penzi lanimeza
Baby mwenzio (baby)
Unanimaliza ( uuuh come on ,come on)
Me mwenzio (aaah)
Unanimaliza (ah)
Sweet mwenzio (baby)
Unanimaliza (eti come on,come on)
Me mwenzio (oooh)
Unanimaliza (aahahh)
Oh mwenzio unanimaliza
Me mwenzio unaimaliza"