Выберите трек для воспроизведения
Сингл / Трек
Ooooh
Yeeeah eeeh
Versie 1
Sisahau siku zile nipo home kwa mtaa
Kichwa kinawaza mengi kuhusu muziki jamaa
Wapi nitaanzia kuflow na style ipi inafaa
Mimi ni MC anaewaza itaingia vipi chapaa