Выберите трек для воспроизведения
Nilijazwa na furaha
Nilipoambiwa eti unaumia
Na sababu ni mimi
Nilikuambia
Malipo ni hapa duniani
Huku'nskiza
Sasa ona unajuta
Inakuuma roho
Inakuuma roho
Inakuuma na
Sishughuliki
Inakuuma roho
Inakuuma roho
Inakuuma na
Sishughuliki
Fuata njia sikutaki tena
Fuata njia sikutaki tena
Fuata njia sikutaki tena
Fuata njia sikutaki tena
Nilisikia ulipata
Ule mbaya
Ukihanya
Ilikutia adabu sana
Ilikuuma tena sana
Nilikwambia
Malipo ni hapa duniani
Hukun-skiza
Sasa ona unajuta
Unaumia
Unaumia roho
Unaumia roho
Unaumia na
Sishughuliki
Unaumia roho
Unaumia roho
Unaumia na
Sishughuliki
Sikutaki sikutaki
Enda uende mbali nami
Yameisha yameisha
Yameisha yameisha
Sikutaki sikutaki
Enda uende mbali nami
Yameisha yameisha
Yameisha yameisha
Inakuuma roho
Inakuuma roho
Inakuuma na
Sishughuliki
Inakuuma roho
Inakuuma roho
Inakuuma na
Sishughuliki
Fuata njia sikutaki tena
Fuata njia sikutaki tena
Fuata njia sikutaki tena
Fuata njia sikutaki tena