Выберите трек для воспроизведения
Mr Polisi
Ni hongo unataka
I am too tipsy
Kujibu mashtaka
Usinihandle
Ka mathe wa Ngara
Issa Fenanana
Sema Unachotaka
Mr Police
Please
Nakuomba release
On my knees
I'm begging you
I don't want no trouble
Me sina drama
Sina za macho
Hizi ni za chama
I don't want no trouble
Me sina drama
Sina za macho
Hizi ni za chama
Nihurumie
Ngumi ni mbwegze
Nihurumie
Pingu ni mbwegze
Nihurumie
Ngumi ni mbwegze
Nihurumie
Pingu ni mbwe mbwe
Mbwe mbwe mbwegze
Naogopa na naona mbilimbili
Nakuogopa na naomba usiniteke
Juu ya mwili na magumi na mateke
Heh, senke toroka manjege
Wewe, unazozwa na veve
Ni peremende
Na si zangu
Nazishikilia tu ni za mwenzangu
Aki sikudanganyi
Aki si zangu
Aki sikudanganyi
Haunifahamu (Issa Fenananana!)
Please
Nakuomba release
On my knees
I'm begging you
I don't want no trouble
Me Sina drama
Sina za macho
Hizi ni za chama
I don't want no trouble
Me sina drama
Sina za macho
Hizi ni za chama
Nihurumie…
(Sema unachotaka)