Выберите трек для воспроизведения

Two five five
Alee wako Wapi waliosema bongo bahati mbaya ao (wako Wapi ?)
wako Wapi waliosema bongo bahati mbaya ao( we umewaona??)
Aleeh!! Wako Wapi waliosema bongo bahati mbaya (wako wako Wapi?? )
wako Wapi waliosema bongo bahati mbaya ao
(Si wanapenda Kubang)
Watu tuko live ( tupo live )
Sikuhizi bongo kama mbele tuko live
Watu tupo online ( tupo live )
Kuzaliwa bongo kama mbele (Tuko live )
Eti hatuna pesa ( hizi nini )
Hatuna mvuto (hizi nini )
Hatuna bebe kali (hizi nini )
Atupush ndinga kali (hizi nini )
Atujui kutumia (hizi nini )
Atuli bata (hizi nini )
Eti hatuna sehemu za kuenjoy life
mbwa wewe , pumbavu zako
sasa hapa tuko Wapi (Kama sio bongo dar-es-salaam )
Tuambie Aya hapa tupo Wapi ? (Kama sio bongo dar-es-salaam )
Mbwa wewe Aya hapa tuko Wapi
(Kama sio bongo dar-es-salaam )
Tuambie wewe hapa tuko Wapi ? (Kama sio bongo dar-es-salaam )
(KUMANANISHA NINI ? )
Two five five
Two five five
Two five five
Two five five
Aleeh!! yuko wapi aliesema bongo uyo ( yuko Wapi ? )
Aleeh!! Yuko Wapi aliesema bongo bahati mbaya uyo (we unamuona ? )
Aleeh! Yuko Wapi aliesema bongo bahati mbaya uyo (yuko yukowapi ? )
Aleeh! Yukowapi aliesema bongo bahati mbaya uyo
Watu tuko live ( Tuko live )
Sikuhizi bongo kama mbele Tuko live
Watu tuko online ( tupo live )
Kuzaliwa bongo kama mbele (Tuko live
Eti hatujui kupendeza (hivi nini ?
Hatuna simu kali (hizi nini ? )
Hatujui kuhonga (hivi nini ?
Hatuchafui meza (hivi nini ?
Eti hatuball (hivi nini )
Bila wewe hatuball (hivi nini ? )
Eti hatuna sehemu za kuenjoy life
mbwa wewe , pumbavu zako
Aya hapa sasa tupo
(Kama sio bongo dar-es-salaam )
Tuambie Aya hapa tupo Wapi ? (Kama sio bongo dar-es-salaam )
Mbwa wewe Aya hapa tuko Wapi
(Kama sio bongo dar-es-salaam )
Tuambie wewe hapa tuko Wapi ? (Kama sio bongo dar-es-salaam
Two five five
Two five five
Two five five
Two five five
Two five five
Two five five
Two five five
Two five five