Выберите трек для воспроизведения
Ooh-oh-oh-oh-oh-oh
Ooh-oh-oh-oh
Nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa
Katika yote, wewe bado Mungu
Ninajua kushiba na kuona njaa
Katika yote wewe bado Mungu
Acha upepo nao uvume
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu, nakuabudu
Acha giza nayo itande
Mimi nitakuabudu wewe
Chanzo cha uhai wangu, nakuabudu
Nimejifunza kudhiliwa (nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa)
Katika yote (katika yote)
Wewe bado ni Mungu (wewe bado ni Mungu)
Ninajua kushiba (ninajua kushiba na kuona njaa)
Katika yote (katika yote wewe bado Mungu)
Ninajua kupendwa (ninajua kupendwa na kukataliwa)
Katika yote (katika yote wewe bado Mungu)
Najua udhaifu (najua udhaifu) ooh, na kuwa na afya
Katika yote wewe bado Mungu
Acha upepo nao uvume (acha upepo nao uvume)
Nitakuabudu wewe (mimi nitakuabudu wewe)
Chanzo cha uhai wangu (chanzo cha uhai wangu)
Ooh, Yesu Yesu (nakuabudu)
Ooh, acha upepo nao uvume (acha upepo nao uvume)
Nitakuabudu wewe (mimi nitakuabudu wewe)
Chanzo cha uhai wangu (chanzo cha uhai wangu)
Nakuabudu (nakuabudu)
Ooh, nakuabudu, nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuabudu, nakuabudu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuinua, nakuinua
Wewe ni chanzo cha uhai wangu
Nakuinua, nakuinua
Wewe ni chanzo, ooh
Nakuabudu, oh Yesu (nakuabudu, nakuabudu)
Wewe ni chanzo (wewe ni chanzo)
Cha uhai wangu (cha uhai wangu)
Nakuabudu (nakuabudu)
Baba wa mabwana, eh (nakuabudu)
Wewe ni chanzo (wewe ni chanzo)
Cha uhai wangu (cha uhai wangu)
Nakuinua (nakuinua)
Oh Yesu, Yesu, Yesu (nakuinua)
Wewe ni chanzo (wewe ni chanzo, cha uhai wangu)
Nakuinua (nakuinua)
Nakuinua eeh (nakuinua)
Wewe ni chanzo (wewe ni chanzo, cha uhai wangu)
Father we worship you
Hakuna jina jingine la kuinuliwa ila jina lako
Eeh
We worship you Lord
We worship you Lord
We worship you Lord
We worship you Lord
Eh, yeh-yeh-yeh-yeh-yeh
Eh, yeh-yeh-yeh-yeh-yeh
Twalibariki jina lako Bwana
Nakuabudu, eh Yesu, Yesu
Wewe ni chanzo cha uzima wangu
Nakuinua, nakuinua
Wewe ni chanzo
Mwambie Bwana kwa maneno yako
Nakuabudu (nakuabudu, nakuabudu)
Kwa kumaanisha, mwambie "Wewe ni chanzo"
(Wewe ni chanzo, cha uhai wangu)
Nakuinua (nakuinua)
Mwambie Bwana "Nakuinua" (nakuinua)
Wewe ni chanzo, eeh (wewe ni chanzo, cha uhai wangu)
Hallelujah (hallelujah)
Hallelujah (hallelujah)
Wewe ni chanzo (wewe ni chanzo)
Cha uhai wangu Bwana (cha uhai wangu)
Hallelujah (hallelujah)
Hallelujah (hallelujah)
Wewe ni chanzo (wewe ni chanzo)
Cha uhai wangu (cha uhai wangu)
Hallelujah (hallelujah)
Eh, yeh-yeh (hallelujah)
Wewe ni chanzo (wewe ni chanzo)
Cha uhai wangu Bwana (cha uhai wangu)
Hallelujah (hallelujah)
Bwana wa mabwana (hallelujah)
Wewe ni chanzo (wewe ni chanzo, cha uhai wangu)
Hallelujah
Wewe ni chanzo, cha uhai wangu
Hallelujah, ooh-ooh
Wewe ni chanzo cha uzima wangu
Kwako mimi ni kichwa Bwana
Kwako sio mkia Bwana
Wewe ni chanzo cha uzima wangu
Ooh, cha uhai wangu
Wewe ni chanzo cha uhai wangu Yesu
Hallelujah