Выберите трек для воспроизведения
Instruments
Ninayo sababu, ya kukurudishia utukufu
Acha sifa hizi ziwe, manukato mbele zako
Ninayo sababu, ya kukurudishia utukufu
Acha sifa hizi ziwe, manukato mbele zako
Nina kila sababu, ya kukurudishia utukufu
Acha sifa hizi ziwe, manukato mbele zako
Wewe ndiye, mtetezi wangu
Alpha na Omega, mwanzo na mwisho
Wewe ndiye mtetezi wangu
Alpha na Omega, mwanzo na mwisho
Instruments
Nitakushukuru bwana aa, Sababu ya haki yako oo
Naliinua jina lako oo, uliye juu bwana
Sababu matendo yako, yapita fahamu zetu
Mteteziii, wawanyonge
Wewe ndiye,mtetezi wangu
Alpha na Omega, mwanzo na mwisho
Wewe ndiye, mtetezi wangu
Alpha na Omega, mwanzo na mwisho
Wewe ndiye, mtetezi wangu
Alpha na Omega, mwanzo na mwisho
Hakuna Mungu kama wewe, Mwokozi wetu
Wewe ndiye, Mwokozi wetu
Hakuna Mungu kama wewe, Mwokozi wetu
Wewe ndiye, Mwokozi wetu
Hakuna Mungu kama wewe, Mwokozi wetu
Wewe ndiye, Mwokozi wetu
Hakuna Mungu kama wewe, Mwokozi wetu
Wewe ndiye, Mwokozi wetu
Hakuna Mungu kama wewe, Mwokozi wetu
Wewe ndiye, Mwokozi wetu
Umetukuka bwana wangu, wewe wastahili ii
Umetukuka bwana wangu.