Выберите трек для воспроизведения
Mana bad man ting
Bakandika bakandika
Aste aste kajegi na mature
Damhalua kakinipa me naua
Meza mate au uteme na mapua
Kukuruku amka kumekucha
Boss ni luku na hukatangi makucha
Ruku ruku kwa wale kuninusha
Goons mandugu mandugu kuungusha
Vete- ve
Veteran
Kama veve
Na veveta
Nina racket ya federa
Na sisongi na federa
Asta la vista
Naendea your sister
Namkutanisha style za batista
Na monalisa ni dem wa Garrisa
Na quota misa niko saa kanisa
Bandana ya E-sir
Fresh ka bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Niko fresh ka bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Niko fresh ka bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Fresh ka bandana ya E-sir
Nikiwa highschool
Nilikuwa naitwa Pudo
Jonto saa ya phyzo Niko ludo
Saa moja ni saa ya kupitisha burungo
First body ndio alinifunzanga makumbo
Nikiwa 16
Tukiwa matings ndani ya 18
18 nilidaisha niko 19
19 kila time ni 4:20
Four twenty
For twenty years
Na bado nmestand
Kama cross ya kanisa
Bado fresh kama bandana ya E-sir
Wananitambua sihitaji visa
Niko real nimechill Sina speed
Niko zone (eehh)
Bones za kugrill
Mbao teeth, hebu nijenge
Wajue the real meaning of Mathenge
Ve-te veteran na wasikudanganye
Coz am still the one
Ve-te veteran na wasikudanganye
Coz am still the one
Bandana ya E-sir
Fresh ka bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Fresh ka bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Niko fresh ka bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Fresh ka bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Niko fresh ka bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Hii ni ya madada kila klabu
Wakiruka kama panzi
Lyrics za habib
Zawainua kama chupa ya Bacardi
Machungu nayo matamu kaa sukari
Allam Dulilahi amen
Hii ni ya madada wenye midomo nyekundu kaa mabuyu
Nataka kuwapiga busu
Niwaambie vile nawapenda kama nyinyi ndugu
Na E-sir alinionya juu ya mamanzi kama nyinyi kama hatuna hatuli
Ukinipa sishibi
Ninaruka vikini
Ukinipa ulimi
Mi husahau bibi
Kupigania sishindi
Vile mama wewe huringi
Ndio nakutaka zaidi (uuuuhhhh)
Fresh kama bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Fresh kaa bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Niko fresh kama bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Fresh ka bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Niko fresh kaa bandana ya E-sir
Genge South C naogopa
Genje nikisanif naomoka
Sembe kila siku niko mboka
Wembe kaa jeje okocha
Si ndo wale huvuta tire ndani ya chopa
Si ndio wale huingia piri na mapocha
Si ndio wale tukiomoka huenda ocha
Natesa kaa Murage akiwa kemsa
Nadai dem Gaza kama Petra
Me ni lion husorora tu mazebra
Nawatibu kama Panadol extra
Haiyaaaa
Bandana ya E-sir
Niko fresh ka bandana ya E-sir
Mko pressed mnang'ang'ania maisha
Ndio maana sikuangi impressed mukidanganya kwa Insta
Naogopa two things sauti ya shootings
Nguku ana mood swings juu they confuse me
Mulinitrendisha Kwa twitter for like two weeks
Nyi sahi mko daro munaandikia manyuhi
Mafala kabisa mmekam na change kama makanga wa Nissan
Mistari fresh kaa bandana ya E-sir
Fresh ka bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Niko fresh ka bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Fresh ka bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir
Niko fresh ka bandana ya E-sir
Bandana ya E-sir