Выберите трек для воспроизведения
Nimependwa, nikapendeka
Wanasema nimerogwa
Sina noma (ananifaa)
Ananifaa mimi
Ananifaa mimi
Ananipea mahaba
Kwa wingi
Hanipimii
Ananipea yote (yote)
Kashaamua kunipenda
Misimu yote (iyee)
Naamini ashapata ubavu wake
Na ni mimi
Hapa habanduki
Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam tam tam sana mapenzi (tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu)
Ninamjua
Ananijua
Ananielewa zaidi
Ananijua
Na nikinuna
Ananituliza
Ananibembeleza
Roho inatulia
Ananiamini
Ninamuamini
Hatuna siri
Twaendana
Shilingi kwa ya pili
Na sio siri
Sio siri
Kupendwa raha
Kwanza nawe
Kupendwa
Tatatatam
Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu)
Tamu sana mapenzi tamu
Tam, tamu sana mapenzi (tamuu)
Tamu sana ni tamu tena sana
Inadonjo inadonjo tu vibaya
Amini usiamini
Niliapa sitawahi penda mwingine
Ona sasa
Nikiwa na yeye haunipati na nikiwa na yeye haumpati
Na nikiwa na yeye it's a party
Nikiwa na yeye hakutaki
Na nikiwa na yeye sikutaki eeh
Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu)
Tamu sana mapenzi
Tam, tam, tamu sana mapenzi (tamuu)
Ni tamu
Ni tamu
Ni tamu
Ni tamu
Tena sana
Ni tamu
Ni tamu
Ni tamu
Ni tamu
Tena sana