Оберіть трек для відтворення

Nimekubali yesu unanijali
Nimekubali yesu unanijali
Unanija ah ah ali
Yesu unanijali
Unanija ah ah ali
Yesu unanijali
Nikiwaza yale yote umedoo
Sitaweza piga hesabu
Miujiza and what have you
I'm so happy I have you
Ya msalaba niseme ama niwache
Na kila siku jamaa napata mkate
Uliyotenda kibao na masichache
Wapi kama wewe nimpate
Oh ahhhhh yesu nakutaka weh
Nimekuonaaa kwa marefu na mapana weh
Oh ahhhhh yesu nakutaka weh
Nimekuonaaa kwa marefu na mapana weh
Nimekubali yesu unanijali
Nimekubali yesu unanijali
Unanija ah ah ali
Yesu unanijali
Unanija ah ah ali
Yesu unanijali
Mafuka umenipaka me nang'a
Hadi wanabaki wameshangaa
Na moto umeniwasha ka mishumaa
Daily nasimama ka shujaa
Leo tomorrow
Nakufuata zaidi ya goro
Juu kwako hakuna sorrow
Umevunja minyororo
Oh ahhhhh yesu nakutaka weh
Nimekuonaaa kwa marefu na mapana weh
Oh ahhhhh yesu nakutaka weh
Nimekuonaaa kwa marefu na mapana weh
Nimekubali yesu unanijali
Nimekubali yesu unanijali
Unanija ah ah ali
Yesu unanijali
Unanija ah ah ali
Yesu unanijali
Nimekubali yesu unanijali
Nimekubali yesu unanijali
Unanija ah ah ali
Yesu unanijali
Unanija ah ah ali
Yesu unanijali
Nimekubali baba nimekubali
Unanijali unanijali
Nimekubali baba nimekubali
Unanijali unanijali