Оберіть трек для відтворення
Mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaaa
mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaa
mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaaa
mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaa
sain starbeat boy aaaaaah
omala tu ukinisogelea ukinigusa ukinisogelea kwangu naona zawadiii
stor za mapenz wakiniletea
naona wazushi wana zingua mbona si tuko good
hawajui unavyo nipendelea waninyonyesha huku nmekua huu upendo umezidii
mbaka unikumbate ndio unaongea ukiwa mbali babe hujazowea au unafanya kusudiii
Kuna wao afu kuna sisi kuna we afu kuna mimi tulianza kama utani na sikuiz tuna enjoy lovee
mchana kweupe hatujifichi npe nikupe yani mambo fitii tulianza kama utani na skuizi tuna enjoy loveee aaaaah
Lala lala laaaaa
la lalaaaaaa
Lala lala laaaa
la lalaaaaa
Lala lala laaaaa
la lalaaaaaa
Lala lala laaaa
la lalaaaaa
uyeee eeeeeh aaaah aaaah aaa aaaaa
Na ikiwa mapenzi sumu basi we ndio utani uwa mwanadamu akitaka niulumu naomba simama kuni tetea wala sio mwilini tuuu mbaka moyoni unanijua uwezo wa mabodigadi sina mi mnyonge ntakulinda na dua
eeeh
usoni moyoni umejawa na furahaa nina macho ila sioni wakuninyima raha
mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaaa
mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaa
mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaaa
mbaka sasa tunavyo jipenda hadi rahaa
Lala lala laaaaa
la lalaaaaaa
Lala lala laaaa
la lalaaaaa
Lala lala laaaaa
la lalaaaaaa
Lala lala laaaa
la lalaaaaa