
Huujamboo salam dunia
Ni siku mingi hatujaongea
Ni siku mingi hatujaongea
Nimekuandikia barua ooh
Nimekuandikia ooh barua aah
Na ningeweza ningekupigia
Na ningeweza ningekupigia
Na ningeweza ningekuwhatsapp
Na ningeweza ningekuwhatsapp
Zainabuu
Zaina zainabu
Ooh zainabu
Zaina zainabu
Iih zainabuu
Zaina zainabu
Ooh zainabu
Zaina zainabu
Zaina zainabu
Iih zainabu
Ooh zainabu
Hehee
Uko wapi kweli
Zainabu uko wapi kweli
Uko wapi nikufuate
Uko wapi nikufuate eeeh
Uko wapi nikufuate eeh
Angalau nikuone
Angalau nikuone
Angalau tuonge
Angalau tuonge
Uko wapi nikufuate eeeh
Uko wapi nikufuate eeeh
Uko wapi nikufuate eeeh
Uko wapi nikufuat
Iiih iyeyeye ooh oh oooooh yeyeyeyee
Ooh mapenzi maradhi naugua miyee
Ooh mapenzi maradhi naugua miyee
Eeh mapenzi maradhi naugua miyee
Eeh mapenz maradhi waleta wivi ooh moyoni
Eeh mapenz maradhi waleta wivi ooh moyoni
Eeh mapenzi bahari nitazama miye
Eeh mapenzi bahari nitazama mi
Ooh mapenzi bahari nitazama miye
Eeh mapenzi bahari nitazama miye
Iih mapenzi maradhi naugua miyee
Ooh mapenzi gereza miye mabusu
Ooh mapenzi gereza miye mabusu
Iih mapenzi gereza miye mabusu oh ooh ooooh
Nikufuate wapi mwana mama ooh
Nikufuate wapi mwana mama
Ulienda wapi mwana mama ooh
Ulienda wapi mwana mama
Ulienda wapi mwana mama
Ulienda wapi zainabu eeh
Nikufuate wapi zainabu wewe eeh
Nikufuate wapi zainabu wewe
Uuuh apenzi maradhi wewe
Iih apenzi maradhi wewe
Mapenzi siyo siri moyoni wee
Ooh siyo siri moyoni
Nimechoka kupenda mwenzio anavunaah
Nimechoka kupenda mwenzio anavunooh
Nimechoka kutunza mwenzio wanachukua
Nimechoka kutunza mwenzio wanachukua
Nimechoka kutunza mwenzio wanachukua
Ulienda wapi mwanamama eeh
Ulienda wapi mwanamama
Nilifunzwa na babu miye eeh
Nilifunzwa na babu miye eeh
Najuwaga kutunza sio kuumiza
Najuwaga kupenda sio kuumiza
Najuwaga kupenda sio kuumiza
Najuwaga kupenda
Najuwaga kupenda sio kuumiza