Оберіть трек для відтворення
Ahh Vitamin Music Forever
Vitamin Yoooh
Jamani mimi mapenzi mapenzi (mapenzi)
Mwezenu Yanani te yanani tesaa (mapenzi)
Jamani mimi mapenzi mapenzi (mapenzi)
Mwezenu Yanani te yanani tesaa (mapenzi)
Minilipanga mi nioane na yeye
Minilipanga mi nitakufa nayee
Minilipanga mi nioane na yeye
Minilipanga mi nitakufa naye
Yeeeehhh
Kwa ajili yake mimi napambana minapigana
Na watu road kutaka kuana
Kwa ajili yake mimi napambana minapigana
Na watu road kutaka kuana
Eti kisa sina kitu mpungufu kapuku
Mwezenu nadhalilika sana
Mi eti kisa sina kitu mpungufu kapuku
Mwezenu nadhalilika mwaya
Acha nilie mimi tu mimi
Mchumia juani nitakula kivulini
Acha nilie mimi tu mimi
Mchumia juani nitakula kivulini
Alinionea huruma ni mama yangu tu
Nilipozidiwa kichwa chini miguu juu
Alinionea huruma ni mama yangu tu
Nilipozidiwa kichwa chini miguu juu
Jamani mimi mapenzi mapenzi (mapenzi)
Mwezenu Yanani te yanani tesaa (mapenzi)
Jamani mimi mapenzi mapenzi (mapenzi)
Mwezenu Yanani te yanani tesaa (mapenzi)
Minilipanga mi nioane na yeye
Minilipanga mi nitakufa nayee
Minilipanga mi nioane na yeye
Minilipanga mi nitakufa naye
Yeeeehhh
Aaaah mamaa ooohh
Mapenzi mapenzi mapenzi yananikataaa
Mapenzi Mapenzi nikisimama nakaa
Mapenzi mapenzi mapenzi yananikataaa
Mapenzi Mapenzi natembea na chuchumaaa
NAME HYPED
Mapenzi mapenzi mapenzi yananikataaa
Mapenzi Mapenzi nikisimama nakaa
Mapenzi mapenzi mapenzi yananikataaa
Mapenzi Mapenzi natembea na chuchumaaa