Оберіть трек для відтворення

Yeah
12:50
J-Zero
Dj caron in the beat
Nikiparty leo Carnivore
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Nikijaza madem kwenye hiyo Rav4
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Nikichapa mashot Moja four
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Haija Haija I say
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Yeah Uh
Niliamka leo kitu 12:50
Nilikuwa tei tangu jana 16 hundred hours
Bulls za mabawa
Smirnoff in the mix si kahawa
South B wanataka mi nidrop
Juu wanadai kuna venye leo inapop
Haija!
Nihate nichekwe?
Leo tunadunda hata kama kuna kwekwe
Kwenye club wanachapa ""Kamaress""
Na mi siwezi dunda tu mangoma kama this
Mi nataka waangushe like this
Mami ebu chapa hiyo floor u-undress!
Nikiparty leo Carnivore
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Nikijaza madem kwenye hiyo Rav4
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Nikichapa mashot Moja four
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Haija Haija I say
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Lunch time
Zero na mapunchline
00:00
Niko na mahanjam (ya kutei)
Hizo ma KK ziflow
Kibao ziflow
Ma Smirrnoff ziflow
wale wanataka barley wapate
Wale watu wa mashot si wapewe?
Martini Rossato ma-Walker
ma-cbsolut Russian vodkaaaaaa
Everything happening here
I'm sorry haukuweza kupitia my dear
Ulihepa ukidhani si ni mafala
sa cheki nani ndio ako home analala
Hype iko iko kwenye building
so nisiskie mkiuliza, ""what is happening?""
MaDirector wakipop it is over
Nikiangusha another track IT'S OVER!
Nikiparty leo Carnivore
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Nikijaza madem kwenye hiyo Rav4
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Nikichapa mashot Moja four
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Haija Haija I say
(Nitaamka tu kitu 12:50)
BRIDGE
Nikiparty leo Carnivore
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Nikijaza madem kwenye hiyo Rav4
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Nikichapa mashot Moja four
(Nitaamka tu kitu 12:50)
Haija Haija I say
(Nitaamka tu kitu 12:50)
caah caah Okay
hehehe
So mi nakushow kitu moja hapa hivi sai
Jueni mi leo naamka 12:50 eh?
So msinitext
Msinipigie simu
Msinitweet msiniFB
Mi siweki alarm ati niamke sijui saa ngapi
Mi sidoo hiyo ish
Mmeskia?
12:50 it is
12:50 it's gonna pop
Yeah