Оберіть трек для відтворення
Maisha ni moja
Nairobi city inaningoja
Watu watahitaji soldier
Superhero akitoroka
Si tuko mboka
Magonjwa yote tunayaponya
Watu wanalia kusota, masonko hawawezi toboka
Na mama mboga, anatugonga, Vijana wake, hula mogoka
Mapenzi hukosa, kwa hizi concert
Kila msanii anadai kublow up
I’m losing my focus, Chemsha okra
Ukali na utamu yote nimeyaonja
Nimeyaonja, nimeyaonja
Ukali na Utamu yote nimeyaonja
Nimeyaonja, nimeyaonja, ukali na utamu yote nimeyaonja, yeah yeah yeah