Оберіть трек для відтворення
Ushawahi sikia ni kama umerogwa yani
Ni ka umemeza dawa
Hawa madame jo
Imekuwa hivi from the first day
Ni kama nimerogwa na madame, madame
It's not a game
Nimekuwa attracted to the same
Nimekuwa niki-analyze some names
Lakini mi najua that we ni my main girl
Nimerogwa na ma-honey
Sa, samahani
African girls na me nawasanif
Mapenzi Sio dini niko kanisani
Bado akilini nakutafakari
Kila saa moyoni me nakutamani
Ulikuja knunipa nuru gizani, saa ni
Waikati wa kujivinjari, gari, la moshi hadi Mombasani
Diani, ama unataka Nyali
Wapi, tukunywe ma-da-fu safi, ya 30, panda matatu ya Tauni
Kiasi, nitakujali, kwa hali na Mali
Ni kama nimerogwa na madame, madame
It's not a game
Nimekuwa attracted to the same
Nimekuwa niki-analyze some names
Lakini mi najua that we ni my main girl
Ni kama nimerogwa na madame, madame
Ni kama, ni kama ni kama
Ni kama ni kama
Ni kama nimerogwa na madame, madame, yeah yeah yeah yeah
Ni kama, ah ah ni kama, ni kama ni kama
Ni kama nimerogwa na madame, madame
Ni kama nimerogwa na madame, madame
Ni kama, ni kama ni kama
Ni kama ni kama
Ni kama nimerogwa na madame, madame, yeah yeah yeah yeah
Ni kama, ah ah ni kama, ni kama ni kama
Ni kama nimerogwa na madame, madame
Utamu na Ukali yote nimeyaonja
Usiku na mchana mpenzi nimekungoja
Sioni mwingine vile umeniona
Hakuna vitabu Bado umenisoma
Sio sarakasi na hakuna kuota
Utamu na Ukali yote nimeyaonja,
Sioni mwengine vile umeniona
Hakuna vitabu Bado umenisoma eh